Ephesians 6:5

Mafundisho Kuhusu Watumwa Na Mabwana

5 aNinyi watumwa, watiini hao walio mabwana zenu hapa duniani kwa heshima na kwa kutetemeka na kwa moyo mmoja, kama vile mnavyomtii Kristo.
Copyright information for SwhNEN